TANGAZO
Uongozi wa   Elam
Christian Harvest Seminary  kwa kushirikiana na Chuo cha GREAT COMMISSION
BIBLE COLLEGE  kilichopo  MAREKANI unapenda kuwatangazia
 watu wote wanaopenda kujiendeleza katika Elimu ya Mambo ya Mungu
(Theology) kuwakaribisha kujiunga na masomo ya Shahada ya uzamili katika
Huduma (Master of Ministry ) kwa mwaka wa masomo 2018/2019. MASOMO
HAYA YANAANZA KUTOLEWA MWEZI JANUARI, 2018
Masomo haya yanatambuliwa Kimataifa.
Chuo cha Great Commission Bible College Kinatambuliwa na Bodi ya elimu ya 
juu ya nchini  Marekani. Hivyo Shahada zake zinatambuliwa Kimataifa. (It
is accredited Christian Institution)
Masomo  haya yanatolewa kwa njia
ya Mtandao. Huna haja ya kuacha kazi zako na familia yako na kwenda chuoni,
masomo yetu yanakufikia kule ulipo kwa njia ya Mtandao (INTANETI) na
yanafundishwa kwa lugha ya KINGEREZA
Masomo haya yametayarishwa na Waalimu
mahiri katika fani ya Huduma na Theolojia, Baada ya kuhitimu mafunzo yaha
mwanafunzi atakuwa na uwezo wa kufanya kazi mbalimbali za kihuduma katika
taasisi za kidini na jamii kwa ujumla. Mwanafunzi ataweza kushika nyazifa za
uongozi katika kanisa, kufundisha Vyuo vya Biblia na Seminary za Theolojia N.k.
MUDA WA MAFUNZO NI 
Muda wa Mafunzo  ni
  miaka miwili (2)  Ingawa mwanafunzi  mwenye kusoma kwa
kasi anaweza kusoma kwa  muda wa chini ya miaka miwili. Mwanafunzi Atasoma
Kozi moja hadi mbili kwa mwezi
TUZO/AWARDS
Mwanafunzi atakayefuzu kozi zote
atatunukiwa Shahada ya  UZAMILI KATIKA HUDUMA  ya  ( Master 
in Ministry. M.Min) ya Chuo cha Biblia cha GREAT COMMISSION BIBLE
COLLEGE   cha Marekani.
SIFA ZA MWOMBAJI
1.      Awe na  Shahada ya Theolojia
au inayofanana na hiyo,  awe na  angalau GPA
    2.9 au Daraja  B  au
2.     Awe na Stashahada  ya juu
(Advanced Diploma ) ya Theolojia  au inayofanana  na hiyo  awe
na angalau GPA ya  3.0
GHARAMA ZA MAFUNZO
       i.           
Ada ya  Usajili
 Tsh, 25,000/=
     ii.           
Ada Ya Kila Kozi Ni
Tsh,   Tsh, 45,000/=
MFUMO  WA MALIPO.
Malipo yote yanafanyika kwa njia ya
m-pesa kwa simu namba 0762532121
MFUMO WA UJIFUNZAJI
Mwanafunzi atatumiwa  kitabu cha
kozi/Somo, mwongozo wa kozi na mtihani kwenye email yake. (barua pepe)
Mwanafunzi Atasoma na kujibu mtihani, baada ya kujibu mtihani ataurudisha
chuoni kwa emaili yetu ambayo ni elamexam2010@gmail.com  nasi
tutaisahihisha mitihani hiyo na kurejesha majibu kwa mwanafunzi kwa njia ya
email  yake.
JINSI
YA KUJIUNGA 
Mwombaji
anapaswa kutuma  maombi kwa njia ya barua pepe kwenye emaili 
Ya
chuo ambayo ni elamseminary@gmail.com au  kupiga simu namba
0762532121/0765992774   kwajili ya
maelekezo zaidi.
ORODHA
YA MASOMO 
| 
Course Code | 
Course Title | 
Credits | 
| 
EGMT 1000 | 
Introduction to Religion  | 
3 | 
| 
EGMT 1001 | 
Sociology of   Religion | 
3                        | 
| 
EGMT 1003 | 
Philosophy of  Religion  | 
3 | 
| 
EGMM 1000 | 
Basic Christian Counseling  | 
3 | 
| 
EGMM 1001 | 
 Contemporary World Mission | 
2 | 
| 
EGMM 1002 | 
Families and Marriage Therapy | 
3 | 
| 
EGMB 1001 | 
Economic of Religion  | 
2 | 
| 
EGMT 1003 | 
Portrait of Jesus | 
3 | 
| 
EGMM 103 | 
Conflict  Management   | 
3 | 
| 
EGMB 2000 | 
Inter Testament  Literature | 
3 | 
| 
EGMT 2000 | 
History of Revivals | 
2 | 
| 
EGMB 2000 | 
Bible Geography  | 
3 | 
| 
EGMM 2000 | 
Understanding  your Potentials  | 
3 | 
| 
EGMM 2001 | 
Research Methods in Ministry  3 | 
3 | 
| 
EGMM 2002 | 
Biblical Hermeneutics  | 
3 | 
| 
EGMT 2001 | 
Christian Education  | 
2 | 
| 
EGML 2000 | 
Church Management and
  Administration  | 
3 | 
| 
EGMM 2003 | 
Thesis    | 
6 | 
TOTAL
Credits 50 Credits Hours 
LIMETOLEWA NA
Rev. Dr. Tuli.  K Brown   
DEPUTY ASSOCIATE DIRECTOR GENERAL
ACADEMIC AFFAIRS
