MAOMBI
YA UKOMBOZI
UTANGULIZI
Maana
ya Ukombozi inaweza kuwa:
· Kufunguliwa kutoka
katika kifungo Fulani
· Kumtoa pepo mchafu
kutoka kwa mtu
· Kufunga nguvu za giza
zinazosababisha uharibifu Fulani
· Kutoa mapepo kwa aliyepagawa
· Kuvunja maagano na
mikataba iliyofungwa inayowatesa watu
· Kuvunja vifungo vya
shetani
· Kung’oa mizizi ya
mbegu ya uharibifu iliyopandwa na ibilisi
· Kuondoa mizigo
isiyoonekana ambayo watu wamebebeshwa bila kujua.
· Kuisafisha njia
· Kuharibu kazi za
shetani
· Kumweka mtu huru
kutoka nguvu za shetani
Unaweza
ukaendelea kuyataja mengi zaidi. Pia zipo njia za kufanya hivyo ila la msingi
ni kuwa kwa uhakika inahusu yafuatayo:
1. Mtu kufunguliwa na kuishi maisha mapya
2. Kugundua adua alipojificha
3. Kumng’oa adua alipojificha
4. Kung’oa vitu vyote vya adui na kuponya
yale yaliyoharibiwa na adui.
5. Kumfunika mtu kwa ulinzi wa Mungu
kusudi adui asiweze kurudi tena.
NJIA ZINAZOTUMIKA
1. Kuziamuru zijitokeze zilikojificha
katika Jina la Yesu – hii inaweze kuchukua muda mwingi.
·
Maombi
·
Nyimbo
za Damu ya Yesu
·
Neno
la Ushindi
·
Wakati
mwingine kutumia mafuta
2. Wafungue mapepo; bila fujo kwa
kuyaamuru bila mahojiano “Mtoke mtu huyu katika Jina la Yesu” Marko 5:8 – 9;9:25 – 27; Luka 8:27 – 33
3. Haribu Vifaa vyote vya adui
4. Toba kwa yale yaliyosababisha kupagawa
wewe mwenyewe, wazazi au wengine.
5.
Ikibidi
shughulikia mababu – Walawi 26; Daniel 9
6. Mkatae shetani na kazi zake na dai eneo
lote lililotekwa. Ukitafakari uweza uliopo katika 1 Yohana 3:8 inayosema Yesu amekuja kuzivunja
nguvu za ibilisi.
7. Bomoa kila ngome yake iliyokuzunguka.
8.
Jisalimishe
kwa Mungu na mkatae shetani. Yak. 4:7
UKOMBOZI
- Kukomboa
- Kukinunua tena kitu
kilichokuwa chako
Bibilia
inaonyesha jinsi ambavyo ukombozi wa wana wa Israel kutoka utumwani Misri
ulivyokuwa.
Tendo
hilo lilitingisha dunia lakini hata hivyo ilikuwa ni alama tu ya tendo kuu
ambalo Mungu alikusudia kwa mwanadamu.
Israel
ilikombolewa na Mungu mwenyewe, sio wao waliojikomboa
Mu
Posted by Fredrick Kweka at
2:09 A
No comments:
Post a Comment