CHUO
CHA MAFUNZO YA HUDUMA PHILADELPHIA
KLPT PARISHI YA
IWALA.
Kuwatarisha
watendakazi kwaajili ya mavuno ya nyakati za mwisho.
KIHUNZI CHA KOZI.
SEMISTA YA PILI 2015
JINA
LA KOZI : Pitio La Agano La Kale Ii.
UKUBWA
WA KOZI: Krediti 3
MHADHIRI: Erick Mponzi
Kozi
hii inatalii Agano la kale kwa kuanzia vitabu vya historia hadi vitabu vya
manabii. Ni mwendelezo wa kozi iliyopita yaani Pitio la Agano la kale I. Kozi
hii inachunguza kwa muhtasari tu mambo mbalimbali yanayopatikana katika Agano
la kale kama vile Mwandishi wa kitabu, kusudi, muundo, mafundisho muhimu, watu
muhimu,mitajo ya Kristo .n.k
II.
MALENGO
YA KOZI.
Kozi
hii inalenga kumpa mwanafunzi mtazamo wa jumla wa Agano la Kale ili awe na
uwezo wa kujenga theologia ya Biblia. Baada ya kusoma kozi mwanafunzi anatakiwa
awe na uwezo wa kutaja mwandish wa kila kitabu, kusudi la kitabu, mafundisho
muhimu ya kitabu, watu muhimu, tarehe ya kitabu. Pia aweze kueleza uhusiano
uliopo baina ya vitabu vilivyo katika fungu moja na aweze kuainisha viongozi na
watumishi mbalimbali ambao Mungu aliwaita na kuwaweka katika utumishi nyakati za Agano
la kale na jinsi walivyoitikia na kuutumikia wito wao na namna anavyoweza
kufaidika katika utumishi wake kutokana na kujifunza mafanikio na changamoto
walizokutana nazo na jinsi walivyokabiliana nazo .
III.
MAUDHUI
YA ZA KOZI
Moduli Ya Kwanza:
UTANGULIZI.
· Maandalizi
ya kujifunza Neno la Mungu.
· 1.Nani
? 2. Nini?, 3.Lini?
4. Wapi? 5. Kwanini? 6. Namna gani 7.Ninajihusishaje?
Moduli ya pili: VITABU VYA HISTORIA
Yoshua
hadi Esta.
· Dhana
ya historia.
· Dhana
ya vitabu vya historia.
· Umuhimu
wa vitabu vya historia
· Uhusiano
wa vitabu vya historia na makundi mengine kama Pentatuki,Maandiko na manabii.
· Mwandishi
wa kitabu
· Asili
ya Jina la kitabu
· Tarehe
ya kuandikwa
· Muundo
wa kitabu
· Mafundisho
muhimu
· Watu
muhimu
· Mitajo
ya Kristo
Moduli ya tatu: VITABU VYA MAANDIKO/HEKIMA
Ayubu Hadi Wimbo uliobora.
· Mwandishi
wa kitabu
· Asili
ya Jina la kitabu
· Tarehe
ya kuandikwa
· Muundo
wa kitabu
· Mafundisho
muhimu
· Watu
muhimu
· Mitajo
ya Kristo
Moduli ya nne: VITABU
VYA MANABI
Manabii wakubwa.
Isaya
hadi Danieli.
· Mwandishi
wa kitabu
· Asili
ya Jina la kitabu
· Tarehe
ya kuandikwa
· Muundo
wa kitabu
· Mafundisho
muhimu
· Watu
muhimu.
· Mitajo
ya Kristo
Manabii wadogo.
Hosea
hadi Malaki.
· Mwandishi
wa kitabu
· Asili
ya jina la kitabu
· Tarehe
ya kuandikwa
· Muundo
wa kitabu
· Mafundisho
muhimu
· Watu
muhimu
· Mitajo
ya Kristo
IV.
MFUMO
WA UFUNDISHAJI
Kozi
hii itafundishwa kwa kutumia njia na mbinu mbalimbali ili kuweza ufanisi wa
mwanafunzi kuelewa zaidi. Kozi itafundishwa
kwa mbinu zifuatazo.
· Mhadhara
· Majadiliano
na
· Uwasilishaji
V.
TATHMINI NA UPIMAJI.
· Jaribio alama 20
· Mahudurio alam 5
· Uwasilishaji alama 5
· Mtihani alama 70
· Jumla ya alama
100
BIBLIOGRAFIA TEULE
Crowhurst, E(3ed)(1998).Old Testament
survey 3: Hillcrest 3650, South
Africa
Mock,J.D.9(1990) Uchunguzi
wa agano la Kale:Chuo cha Biblia kwa wachungaji na viongozi wa
KanisaAtlanta GA.
Self, J .L.(-)Old tesatemnt Survey:Notes on theMessage and Meaning of
Old Testament Literature
Smith,G.
ISOM
TRIMESTER B: International School ofministry. USA.
Tanzania Assemblies of
God,(2011).Mapitio ya Biblia I
(BIB1063): Idara ya elimu
VanBuskirk, T.E.(2002-2007).Old
Testament Survey. Taylorsville, UT 84118.
.