Tuesday, 22 October 2019
USAJIRI WA ELAM CHRISTIAN HARVEST SEMINARY
Bwana
Yesu apewe sifa.
Chuo
cha Biblia cha Elam Christian Harvest Seminary kimekuwa kikitoa mafunzo kwa
kushirikiana na Chuo cha Biblia cha Great Commission Bible College tangu kuanzishwa
kwake mnano mwaka 2014 mpaka sasa
Chuo
hiki kimekuwa kikitoa mafunzo kuanzia ngazi ya Astashahada hadi ngazi ya
Shahadada ya uzamivu.
Watu
wengi wamekuwa wakiuliza kuhusu usajiri wa 
Chuo hiki
Napenda
kuwajulisha wanafunzi, wadau wa  Elam
Seminary na watu wote kuwa ujumla kuwa 
chuo cha Biblia cha Elam Christian Harvest Seminary  ni mwanachama na Kimesajiriwa na Bodi ya  Kimataifa ya Usajiri wa Vyuo vya Biblia na
Theolojia iliyoko nchini Marekani Inayojulikana kwa jina la THE ASSOCIATION OF
INDEPENDENT CHRISTIAN COLLEGES AND SEMINARIES (AICCS) 
Chuo
cha Biblia cha Elam   Christian Harvest
Seminary kimepewa mamlaka na bodi  kutoa
mafunzo kuanzia ngazi ya cheti hadi ngazi ya uzamivu katika fani za Elimu ya
Kikristo.
Hivyo
 wadau wote na wanafunzi msiwe na shaka
Elam  Seminary ni mahali sahihi kwaajili
ya yako. Hakika hutajuta kusoma katika chuo hiki.
Ni
mimi ndugu katika Kristo Yesu
Rev.Dr. Erick L. Mponzi
MKURUGENZI MKUU
ELAM CHRISTIAN HARVEST
SEMINARY
Subscribe to:
Comments (Atom)
