PHILADELPHIA
SCHOOL OF MISSION
KLPT-SHILOH
PARISH
MTIHANI WA
SEMISTA YA TATU FEBRUARY2015
HISTORIA YA
KANISA II
PHS
201.
MUDA  saa 3:00
MAELEKEZO.
·       
Mtihani huu una sehemu A, B, C, na D.
·       
Jibu maswali yote ya sehemu A, B, C Na
Maswali Matatu Tu Toka Sehemu D.
·       
Majibu ya Sehemu A,B Yajibiwe Katika
Karatasi Hii Na Majibu Ya Sehemu C Na D Yajibiwe Katika Kitabu Cha Kujibia.
·       
Andika jina na namba yako katika kila
ukurasa wa majibu.
·       
Andika kwa umakini, swali lililofutwa
halite sahihishwa.
·       
Mtihani huu una kurasa mbili
zilizochapwa.
SEHEMU
A. ALAMA 10
Maelezo
yafuatayo yaweza kuwa kweli au si kweli. Soma kwa makini kila maelezo na kisha
andika  N kwa jibu la kweli na H kwa jibu
lisilo kweli.
| 
NA | 
MAELEZO | 
NDIYO | 
HAPANA | 
| 
1 | 
Katika
  kipindi cha Efeso kanisa liliteswa na serikali na wayahudi. |  |  | 
| 
2 | 
Maksentio
  alipigana vita na Kostantino huko 
  Ujerumani. |  |  | 
| 
3 | 
Kostantino
  alihamishia makao makuu ya Serikali ya Rumi katika mji wa Rumi. |  |  | 
| 
4 | 
Umonnntano
  ulianzishwa na mtu aliyeitwa Montano mwenyeji wa Frigia. |  |  | 
| 
5 | 
Marsioni  aliharakisha uwekaji wa kanuni ya maandiko
  Matakatifu. |  |  | 
| 
6 | 
Novatiano alikuwa kiongozi wa wanovato
  katika karne ya tatu kabla ya  masihi |  |  | 
| 
7 | 
Kuongoka
  kwqa Kostantino kulikuwa na athali chanya na hasi katika kanisa. |  |  | 
| 
8 | 
Kostantino
  alikuwa katibu wa mkutano wa Naikea uliofanyika mwaka  325 KYM |  |  | 
| 
9 | 
Wayahhudishaji
  walikua ni wakristo wenye asili ya kirumi waliohimiza wakristo kufuata
  mapokeo ya kiyahudi na sheria za Musa. |  |  | 
| 
10 |  |  |  | 
SEHEMU
B.ALAMA  10.
Oanisha orodha A na orodha B kwa
kujaza  majibu toka katika orodha B  katika jedwali iliyochorwa hapo chini. 
| 
                      ORODHA  A | 
ORODHA
  B | 
| 
1.  Theotokos | 
A.Mmonaki
  wa kwanza  | 
| 
2.
  Mama wa Kristo. | 
B.Mwanzilishi
  wa Monastery  | 
| 
3.Uzushi | 
C.Baba
  mkubwa | 
| 
4.Katoliki | 
D.
  Kukua kwa upapa | 
| 
5
  Innocent II | 
E.Jon
  Hus | 
| 
6.Patriaki | 
F.  Mafundisho yasiyokubaliwa   na
  kanisa | 
| 
7.
  Pokomeo | 
G.
  Mwanzilishi wa Serikali ya Vatikani. | 
| 
8.Mwana
  mategenezo wa Bohemia. | 
H.
  Sirilo | 
| 
9.
  590 BK | 
I.  ya popote | 
| 
10.
  Antoni | 
J.
  Nestori | 
| 
Na
  ya swali | 
1 | 
2 | 
3 | 
4 | 
5 | 
6 | 
7 | 
8 | 
9 | 
10 | 
| 
Jibu |  |  |  |  |  |  |  |  |  |  | 
SEHEMU
C. ALAMA 20.
 ELEZA KWA KIFUPI MCHANGO KILA MMOJA  WA WATU WAFUATAO KATIKA HISTORIA YA KANISA
1.      Hildebrand.
2.      Ulrich
Zwingry.
3.      John
Wikrif.
4.      John
Calvin
5.      Jon
Hus.
SEHEMU
D.  ISHA. ALAMA  45. JIBU MASWALI 3 TU TOKA SEHEMU HII..
1.      Kwa
hoja tano Thabiti jadili hoja ya wakristo wa Karthegi  kukataa kuongozwa na Viongozi waliokuwa
wameikana imani wakati wa kipindi cha mateso ya kanisa chini ya uongozi wa
Deokletiani.
2.      Si
kila kilichoitwa uzushi kilikuwa uzushi kweli, kwa kutumia Hoja za Marsion na
Montano jadili kauli hii kwa mifano 
ithibati.
3.      Mafanikio
huweza kuwa chanzo cha anguko.  Kwa
kutumia mafanikio kanisa liliyoyapata 
kutokana na tamko la tamko la amani toa hoja 10 ukithibitisha dai hili.
4.      Wimbi
la matengenezo ya kanisa halikuzaliwa katika ombwe tup., jadili kauli hii kwa
hoja tano kuntu.
5.      Kuanguka
kwa mamlaka ya upapa hakukua tukio la usiku mmoja, bali ulikuwa ni mchakato kamilifu
na maanifu.  Jadili kauli hii kwa hoja tano
madhubuti.
6.      Wakati
viongozi wa kanisa wanaacha kusudi la msingi la wito wao wa kimadhabahu na kuanza
kujikita katika masuala ya siasa huweza kuleta Matokeo hasi katika kanisa kwa kiwango
gani kauli hii inaukweli ? Toa hoja tano kwa mifano ithibati.
