ELAM CHRISTIAN HARVEST SEMINARY TANZANIA
In Collaboration With
GREAT
COMMISSION BIBLE COLLEGE (USA)
NAFASI ZA MASOMO YASHAHADA YA BIBLIA NA THEOLOJIA KWA NJIA YA MTANDAO (INTANETI)
Elam Christian Harvest Seminary kwa kushirikiana na Chuo cha Biblia cha Great Commision Bible College cha Marekani wanapenda
kuwatangazia Wakristo wote Masomo ya Biblia na Theolojia kwa njia ya mtandao (Intaneti).
Huna haja ya kuacha
kazi yako na familia yako na kwenda
chuoni kwa miaka mingi. Chuo chetu kinakufikia kule uliko kwa njia ya mtandao (Intaneti.)
Tunatoa masomo ya
Biblia na Theolojia yenye uwezo wa kumwandaa mwanafunzi kwaajili ya huduma.
Baada ya kufuzu masomo haya mwanafunzi ataweza kumtumikia Mungu kwa ufanisi
katika huduma mbalimbali kwaajili ya kuujenga mwili wa Yesu Kristo (Kanisa).
Masomo Haya ni ya ngazi ya Shahada ya kwanza (Bachelor Degree) na ni ya Miaka
Mitatu.
Masomo haya
yanatambuliwa Kimataifa. Chuo cha Great Commission Bible College Kinatambuliwa
na Bodi ya elimu ya juu ya nchini Marekani. Hivyo Shahada zake zinatambuliwa
Kimataifa. (It is accredited Christian
Institution)
Kuna Jumla ya Kozi hamsini (50 ) zenye jumla ya krediti 130. Mwanafunzi Atasoma Kozi moja hadi mbili kwa mwezi
kutegemeana na uwezo wake.
MUUNDO
WA UJIFUNZAJI.
Mwanafunzi atatumiwa kitabu cha kozi/Somo, mwongozo wa kozi na
mtihani kwenye email yake. (barua pepe) Mwanafunzi Atasoma na kujibu mtihani,
baada ya kujibu mtihani ataurudisha chuoni kwa emaili yetu ambasyo ni elamexam2010@gmail.com nasi tutaisahihisha mitihani hiyo na
kurejesha majibu kwa mwanafunzi kwa njia ya email yake.
MFUMO
WA MALIPO
·
Ada ya usajiri ni Tsh. 15,000/=
·
Ada kwa kila kozi/somo ni Tsh. 25,000
·
Ada inalipwa kwa njia ya M-pesa kwa
namba ya Simu 0762532121.
Baada ya mwanafunzi
kujisajiri na kulipa fedha ya usajiri ndipo ataruhusiwa kuendelea na masomo.
Ada ya masomo itatakiwa kulipwa kabla mwanafunzi hajatumiwa masomo yake.
LUGHA
YA MAFUNZO
Masomo program hii yanatolewa kwa lugha mbili
Kiswahili na kiingereza. Mwanafunzi atachagua mwenyewe lugha ya kutumia katika
masomo yake.
VIFAA
VINAVYOTAKIWA
Vitabu vya kozi zote
vipo katika mfumo wa PDF na Word, hivyo mwanafunzi atalazimika kuwa na kompyuta/IPAD ili aweze
kujifunza masomo haya.
Kila mwanafunzi ni
lazima awe na email yake mwenyewe (Barua pepe) atakayotumia katika masomo yake.
TUZO/AWARDS
Mwanafunzi atakayefuzu
kozi zote atatunukiwa Shahada ya kwanza ya Biblia na Theolojia(Bachelor Degree
in Bible and Theology. B.Th) ya Chuo cha Biblia cha GREAT COMMISSION BIBLE
COLLEGE cha Marekani.
Baada ya kufuzu masomo
haya mwanafunziataweza kumtumikia Mungu kwa ufanisi na kuweza kushika nafasi mbalimbali katika
kanisa na taasisi mbalimbali za Kikristo.
Mtu yeyote anaetaka
kujiunga naprogramu hii ya mafunzo
anapaswa kujaza fomu iliyoko chini ya ukurasa hii na kuipesti katika ukurasa
mwingine wa uwanja wa kuandikia (Microsoft word ) na kuituma kwetu kwenye email
ifuatayo: elamseminary@gmail.com
Waweza
kuupitia mtaala wa programu ya Shahada ya Biblia na Theolojia (B.Th) katika ukurasa
unaofuata hapo chini.
Kwa Maelezo Zaidi
Wasiliana nasi kwa barua pepe au namba za simu zilizopo hapo juu.
Wako katika Mavuno ya
Kiroho
Rev.Dr.
Erick L Mponzi
(Dip Min, BED, (Counseling), B.Th, M.Min, ThD)
GCBC REPRESETANTIVE
ORODHA
YA KOZI ZA SHAHADA YA KWANZA YA BIBLIA NA THEOLOGIA
MWAKA
WA KWANZA
NAMBA YA KOZI
|
JINA LA KOZI
|
KREDITI
|
HADHI
|
EBB
100
|
Utafiti
wa agano la kale
|
3
|
Lazima
|
EBB
101
|
Utafiti
wa agano Jipya
|
3
|
Lazima
|
EBT
100
|
Sifa
na Ibada
|
2
|
Lazima
|
EBT
101
|
Mbinu
za kujifunza Maandiko Matakatifu
|
3
|
Lazima
|
EBA
100
|
Stadi
za mawasiliano na usomaji
|
2
|
Lazima
|
EBT
102
|
Kujenga
misingi ya Imani
|
2
|
Lazima
|
EBB
102
|
Historia
ya Biblia
|
3
|
Lazima
|
EBT
103
|
Mbinu
za Kufuasa
|
3
|
Lazima
|
EBT
104
|
Misingi
ya Theologia Ya Kikristo
|
3
|
Lazima
|
Semista
ya pili
NAMBA YA KOZI
|
JINA LA KOZI
|
KREDITI
|
HADHI
|
EBB
200
|
Pentatuki
na kuundwa kwa taifa la Israeli
|
3
|
Lazima
|
EBT
200
|
Historia
ya Dini
|
2
|
Silazima
|
EBT
201
|
Kuwa
na ushirika na Mungu
|
2
|
Lazima
|
EBT
202
|
Sikukuu
za Bwana
|
3
|
Lazima
|
EBB
201
|
Utangulizi
wa Sarufi ya Kigiriki
|
3
|
Silazima
|
EBB
203
|
Utangulizi
wa Sarufi ya Kiebrania
|
3
|
Silazima
|
EBM
203
|
Nguvu
ya Maombi
|
2
|
Lazima
|
EBA
200
|
Teknolojia
ya Habari na Mawasiliano
|
3
|
Silazima
|
EBM
200
|
Mbinu
za kufanya uinjilisti
|
3
|
Lazima
|
Semista
ya tatu
NAMBA YA KOZI
|
JINA LA KOZI
|
KREDITI
|
HADHI
|
EBT
300
|
Historia
ya kanisa,I ( karne za kwanza)
|
2
|
Lazima
|
EBM
200
|
Homiletiksi
|
3
|
Lazima
|
EBM
201
|
Kanisa
la seri
|
2
|
Silazima
|
EBT
301
|
Theologia
I
|
3
|
Lazima
|
EBT
302
|
Usalama wa Milele
|
3
|
Silazima
|
EBP
300
|
Saikolojia
ya Biblia
|
3
|
Lazima
|
EBB
300
|
Ufalme
ulioungana na kugawanyika
|
3
|
Lazima
|
EBM
302
|
Kristo
Aliyekiunganishi
|
2
|
Silazima
|
EBM
303
|
Vita
vya Kiroho
|
3
|
Lazima
|
MWAKA
WA PILI
Semista
ya nne
NAMBA YA KOZI
|
JINA LA KOZI
|
KREDITI
|
HADHI
|
EBT
400
|
Misingi
ya agano la ki-Mungu
|
3
|
Silazima
|
EBC
400
|
Mikakati
ya mazidisho ya kanisa
|
3
|
Lazima
|
EBL
400
|
Maono
ya uongozi
|
3
|
Lazima
|
EBM
400
|
Kanuni
za ufundishaji
|
3
|
Lazima
|
EBB
400
|
Maandiko
|
3
|
Lazima
|
EBT
401
|
Theologia
ya Dogmatiki
|
2
|
Silazima
|
EBT
402
|
Nguvu
ya maombi
|
2
|
Lazima
|
EBT403
|
Historia
ya kanisa II. (Karne za katikati)
|
2
|
Lazima
|
EBM 401
|
Kupokea
upako wa Roho Mtakatifu
|
2
|
Lazima
|
Semista
ya tano
NAMBA YA KOZI
|
JINA LA KOZI
|
KREDITI
|
HADHI
|
EBT
500
|
Uundaji
wa mitaala ya elimu ya kikristo
|
3
|
Silazima
|
EBB
500
|
Maisha
ya Daudi
|
2
|
Silazima
|
EBB
501
|
Manabii
Wakubwa
|
3
|
Lazima
|
EBL
500
|
Kanuni
za Uongozi wa kiroho
|
3
|
Lazima
|
EBT
501
|
Elimu
ya kikristo
|
3
|
Lazima
|
EBT
502
|
Kubaini mafundisho potofu
|
2
|
Silazima
|
EBL
501
|
Usimamizi
wa raslimali za kanisa
|
3
|
Lazima
|
EBT
503
|
Maadili
ya Kikristo
|
2
|
Lazima
|
EBT
504
|
Apolojetiksi-
uteteaji wa imani
|
3
|
Silazima
|
EDTBT
505
|
Historia
ya kanisa III.(Matengenezo ya Kanisa)
|
2
|
Lazima
|
Semista
ya sita
NAMBA YA KOZI
|
JINA LA KOZI
|
KREDITI
|
HADHI
|
EBM
600
|
Karama
za Huduma
|
2
|
Lazima
|
EBT
600
|
Mamlaka
ya Mwamini
|
3
|
Lazima
|
EBM
601
|
Wanawake
katika huduma
|
3
|
Lazima
|
EBM
602
|
Malezi
ya familia za kikristo
|
3
|
Lazima
|
EBM
603
|
Huduma
za watoto na vijana
|
3
|
Silazima
|
EBT
601
|
Sosholojia
ya Kikristo
|
2
|
Silazima
|
EBT
602
|
Falsafa
ya dini
|
3
|
Silazima
|
EBB
600
|
Manabii
wadogo
|
3
|
Lazima
|
EBT
603
|
Historia
ya Kanisa IV (Tanzania)
|
3
|
Silazima
|
EBT
604
|
Theologia
II
|
3
|
Lazima
|
Mwaka wa Tatu
Semista
ya Saba
NAMBA YA KOZI
|
JINA LA KOZI
|
KREDITI
|
HADHI
|
EBM
700
|
Karama
za Roho mtakatifu
|
3
|
Lazima
|
EBT
700
|
Pneumatolojia
|
2
|
Lazima
|
EBT
701
|
Theologia
III
|
3
|
Lazima
|
EBT
702
|
Elimu
ya kichungaji
|
3
|
Lazima
|
EBP 700
|
Ushauri
na utunzaji wa kichungaji
|
3
|
Lazima
|
EBB
700
|
Injili
zinazofanana
|
3
|
Silazima
|
EBB
701
|
Nyaraka
za kifungoni
|
3
|
Silazima
|
EBT
703
|
Historia
ya wokovu
|
2
|
Silazima
|
EBT
704
|
Mtazamo
wa ki-Mungu juu ya Ulimwengu
|
3
|
Silazima
|
EBL
700
|
Misingi
ya uongozi wa ki-Biblia
|
2
|
Silazima
|
Semista
ya Nane
NAMBA
YA KOZI
|
JINA
LA KOZI
|
KREDITI
|
HADHI
|
EBT
800
|
Eskatolojia
|
3
|
Lazima
|
EBP
800
|
Ushauri kabla ya ndoa
|
3
|
Silazima
|
EBA
800
|
Ujasiliamali
|
3
|
Silazima
|
EBA
801
|
Sayansi ya jamii
|
3
|
Siazima
|
EBC
800
|
Umisheni
na Mavuno
|
3
|
Lazima
|
EBT
801
|
Ndoa
na familia ya Kikristo
|
3
|
Lazima
|
EBT
802
|
Methodolia
Ya Utafiti Katika Theologia
|
2
|
Lazima
|
EBM
800
|
Huduma ya uponyaji
|
2
|
Lazima
|
EBT
803
|
Historia
ya uamsho
|
2
|
Silazima
|
Semista
ya Tisa
NAMBA
YA KOZI
|
JINA
LA KOZI
|
KREDITI
|
HADHI
|
EBM
900
|
Kuwaweka
mateka huru
|
3
|
silazima
|
EBT
900
|
Kuvunja
nira ya umaskini
|
2
|
Silazima
|
EBB
900
|
Nyaraka
za kichungaji
|
3
|
Lazima
|
EBB 901
|
Danieli
na ufunuo
|
3
|
Lazima
|
EBB
902
|
Waebrania
|
2
|
Silazima
|
EBM
901
|
Theologia
ya matendo
|
3
|
Lazima
|
EBM
902
|
Kanisa
linaloongozwa kwa kusudi
|
2
|
Lazima
|
EBT
901
|
Kiini
cha Injili
|
3
|
Silazima
|
EBT
902
|
Utafiti
wa kithiologia
|
3
|
Lazima
|
EBT
903
|
Semina
ya Kithiologia
|
3
|
Lazima
|
No comments:
Post a Comment