Monday, 5 December 2016

SHAHADA YA BIBLIA NA THEOLOJIA KWA NJIA YA MTANDAO






ELAM CHRISTIAN HARVEST SEMINARY TANZANIA
In Collaboration With
GREAT COMMISSION BIBLE COLLEGE (USA)


NAFASI ZA MASOMO YASHAHADA YA  BIBLIA NA THEOLOJIA KWA NJIA YA  MTANDAO (INTANETI)
Elam Christian  Harvest Seminary  kwa kushirikiana na Chuo cha Biblia cha  Great Commision Bible  College cha Marekani wanapenda kuwatangazia Wakristo wote Masomo ya Biblia na Theolojia kwa njia ya mtandao (Intaneti).
Huna haja ya kuacha kazi yako na familia yako  na kwenda chuoni kwa miaka mingi. Chuo chetu kinakufikia kule uliko kwa njia ya mtandao (Intaneti.)
Tunatoa masomo ya Biblia na Theolojia yenye uwezo wa kumwandaa mwanafunzi kwaajili ya huduma. Baada ya kufuzu masomo haya mwanafunzi ataweza kumtumikia Mungu kwa ufanisi katika huduma mbalimbali kwaajili ya kuujenga mwili wa Yesu Kristo (Kanisa).
Masomo Haya ni  ya ngazi ya Shahada ya kwanza (Bachelor Degree)  na ni ya   Miaka Mitatu.

Masomo haya yanatambuliwa Kimataifa. Chuo cha Great Commission Bible College Kinatambuliwa na Bodi ya elimu ya  juu ya nchini  Marekani. Hivyo Shahada zake zinatambuliwa Kimataifa. (It is accredited Christian Institution)
Kuna Jumla ya Kozi  hamsini (54 ) zenye jumla ya krediti 140.  Mwanafunzi  Atasoma Kozi moja hadi mbili kwa mwezi kutegemeana na uwezo wake.
MUUNDO WA  UJIFUNZAJI.
Mwanafunzi atatumiwa  kitabu cha kozi/Somo, mwongozo wa kozi na mtihani kwenye email yake. (barua pepe) Mwanafunzi Atasoma na kujibu mtihani, baada ya kujibu mtihani ataurudisha chuoni kwa emaili yetu ambasyo ni elamexam2010@gmail.com  nasi tutaisahihisha mitihani hiyo na kurejesha majibu kwa mwanafunzi kwa njia ya email  yake.

MFUMO WA MALIPO
·        Ada ya usajiri ni Tsh. 15,000/= 
·        Ada kwa kila kozi/somo  ni Tsh. 25,000
·        Ada inalipwa kwa njia ya M-pesa kwa namba ya Simu 0762532121.
Baada ya mwanafunzi kujisajiri na kulipa fedha ya usajiri ndipo ataruhusiwa kuendelea na masomo. Ada ya masomo itatakiwa kulipwa kabla mwanafunzi hajatumiwa masomo yake.
LUGHA YA MAFUNZO
Masomo  program hii yanatolewa kwa lugha mbili Kiswahili na kiingereza. Mwanafunzi atachagua mwenyewe lugha ya kutumia katika masomo yake.
VIFAA VINAVYOTAKIWA
Vitabu vya kozi zote vipo katika mfumo wa PDF na Word, hivyo mwanafunzi  atalazimika kuwa na kompyuta/IPAD ili aweze kujifunza masomo haya.
Kila mwanafunzi ni lazima awe na email yake mwenyewe (Barua pepe) atakayotumia katika masomo yake.
TUZO/AWARDS
Mwanafunzi atakayefuzu kozi zote atatunukiwa Shahada ya kwanza ya Biblia na Theolojia(Bachelor Degree in Bible and Theology. B.Th) ya Chuo cha Biblia cha GREAT COMMISSION BIBLE COLLEGE   cha Marekani.
Baada ya kufuzu masomo haya mwanafunziataweza kumtumikia Mungu kwa ufanisi na  kuweza kushika nafasi mbalimbali katika kanisa na taasisi mbalimbali za Kikristo.
Mtu yeyote anaetaka kujiunga naprogramu  hii ya mafunzo anapaswa kujaza fomu iliyoko chini ya ukurasa hii na kuipesti katika ukurasa mwingine wa uwanja wa kuandikia (Microsoft word ) na kuituma kwetu kwenye email ifuatayo:  elamseminary@gmail.com
Waweza kuupitia mtaala wa programu ya Shahada ya  Biblia na Theolojia (B.Th) katika ukurasa unaofuata hapo chini.

Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana nasi kwa barua pepe au namba za simu  zilizopo hapo juu.
Wako katika Mavuno ya Kiroho
Rev.Dr.  Erick   L Mponzi
 (Dip Min, BED, (Counseling),  B.Th, M.Min, ThD)
GCBC REPRESETANTIVE



ORODHA YA KOZI ZA SHAHADA YA KWANZA YA BIBLIA NA THEOLOGIA
MWAKA WA KWANZA
Semista ya kwanza                                                                                    
NAMBA YA KOZI
JINA LA KOZI
KREDITI
HADHI
EBB 100
Utafiti wa agano la kale
3
Lazima
EBB 101
Utafiti wa agano Jipya
3
Lazima
EBT 100
Sifa na Ibada
2
Lazima
EBT 101
Mbinu za kujifunza Maandiko Matakatifu
3
Lazima
EBA 100
Stadi za mawasiliano na usomaji
2
Lazima
EBT 102
Kujenga misingi ya Imani
2
Lazima
EBB 102
Historia ya Biblia
3
Lazima
EBT 103
Mbinu za Kufuasa
3
Lazima
EBT 104
Misingi ya Theologia  Ya  Kikristo
3
Lazima
Semista ya pili
NAMBA YA KOZI
JINA LA KOZI
KREDITI
HADHI
EBB 200
Pentatuki na kuundwa kwa taifa la Israeli
3
Lazima
EBT 200
Historia ya Dini
2
Silazima
EBT 201
Kuwa na ushirika na Mungu
2
Lazima
EBT 202
Sikukuu za  Bwana
3
Lazima
EBB 201
Utangulizi wa Sarufi ya Kigiriki
3
Silazima
EBB 203
Utangulizi wa Sarufi ya  Kiebrania
3
Silazima
EBM 203
Nguvu ya Maombi
2
Lazima
EBA 200
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
3
Silazima
EBM 200
Mbinu za kufanya uinjilisti
3
Lazima


Semista ya tatu
NAMBA YA KOZI
JINA LA KOZI
KREDITI
HADHI
EBT 300
Historia ya kanisa,I ( karne za kwanza)
2
Lazima
EBM 200
Homiletiksi
3
Lazima
EBM 201
Kanisa la seri
2
Silazima
EBT 301
Theologia I
3
Lazima
EBT 302
Usalama  wa Milele
3
Silazima
EBP 300
Saikolojia ya Biblia
3
Lazima
EBB 300
Ufalme ulioungana na kugawanyika
3
Lazima
EBM 302
Kristo Aliyekiunganishi
2
Silazima
EBM 303
Vita vya Kiroho
3
Lazima
MWAKA WA PILI
Semista ya nne
NAMBA YA KOZI
JINA LA KOZI
KREDITI
HADHI
EBT 400
Misingi ya agano la ki-Mungu
3
Silazima
EBC 400
Mikakati ya mazidisho ya kanisa
3
Lazima
EBL 400
Maono ya uongozi
3
Lazima
EBM 400
Kanuni za ufundishaji
3
Lazima
EBB 400
Maandiko
3
Lazima
EBT 401
Theologia ya Dogmatiki
2
Silazima
EBT 402
Nguvu ya maombi
2
Lazima
EBT403
Historia ya kanisa II.  (Karne za katikati)
2
Lazima
EBM  401
Kupokea upako wa Roho Mtakatifu
2
Lazima
Semista ya tano
NAMBA YA KOZI
JINA LA KOZI
KREDITI
HADHI
EBT 500
Uundaji wa mitaala  ya elimu ya kikristo
3
Silazima
EBB 500
Maisha ya Daudi
2
Silazima
EBB 501
Manabii Wakubwa
3
Lazima
EBL 500
Kanuni za Uongozi wa kiroho
3
Lazima
EBT 501
Elimu ya kikristo
3
Lazima
EBT 502
 Kubaini mafundisho potofu
2
Silazima
EBL 501
Usimamizi wa raslimali za kanisa
3
Lazima
EBT 503
Maadili ya  Kikristo  
2
Lazima
EBT 504
Apolojetiksi- uteteaji wa imani
3
Silazima
EDTBT 505
Historia ya kanisa III.(Matengenezo ya Kanisa)
2
Lazima
Semista ya sita
NAMBA YA KOZI
JINA LA KOZI
KREDITI
HADHI
EBM 600
Karama za Huduma
2
Lazima
EBT 600
Mamlaka ya Mwamini
3
Lazima
EBM 601
Wanawake katika huduma
3
Lazima
EBM 602
Malezi ya familia za kikristo
3
Lazima
EBM 603
Huduma za watoto na vijana
3
Silazima
EBT 601
Sosholojia ya Kikristo
2
Silazima
EBT 602
Falsafa ya dini
3
Silazima
EBB 600
Manabii wadogo
3
Lazima
EBT 603
Historia ya Kanisa IV (Tanzania)
3
Silazima
EBT 604
Theologia II
3
Lazima
   
Mwaka wa Tatu
Semista ya Saba
NAMBA YA KOZI
JINA LA KOZI
KREDITI
HADHI
EBM 700
Karama za Roho mtakatifu
3
Lazima
EBT 700
Pneumatolojia
2
Lazima
EBT 701
Theologia III
3
Lazima
EBT 702
Elimu ya kichungaji
3
Lazima
EBP  700
Ushauri na utunzaji wa  kichungaji
3
Lazima
EBB 700
Injili zinazofanana
3
Silazima
EBB 701
Nyaraka za kifungoni
3
Silazima
EBT 703
Historia ya wokovu
2
Silazima
EBT 704
Mtazamo wa ki-Mungu juu ya Ulimwengu
3
Silazima
EBL 700
Misingi ya uongozi wa ki-Biblia
2
Silazima
Semista ya Nane
NAMBA YA KOZI
JINA LA KOZI
KREDITI
HADHI
EBT 800
Eskatolojia
3
Lazima
EBP 800
Ushauri  kabla ya ndoa
3
Silazima  
EBA 800
Ujasiliamali
3
Silazima
EBA 801
Sayansi  ya jamii
3
Siazima
EBC 800
Umisheni na Mavuno
3
Lazima
EBT 801
Ndoa na familia ya Kikristo
3
Lazima
EBT 802
Methodolia Ya Utafiti Katika Theologia
2
Lazima
EBM 800
 Huduma ya  uponyaji
2
Lazima
EBT 803
Historia ya uamsho
2
Silazima
Semista ya Tisa
NAMBA YA KOZI
JINA LA KOZI
KREDITI
HADHI
EBM 900
Kuwaweka mateka huru
3
silazima
EBT 900
Kuvunja nira ya umaskini
2
Silazima
EBB 900
Nyaraka za kichungaji
3
Lazima
EBB  901
Danieli na ufunuo
3
Lazima
EBB 902
Waebrania
2
Silazima
EBM 901
Theologia ya matendo
3
Lazima
EBM 902
Kanisa linaloongozwa kwa kusudi
2
Lazima
EBT 901
Kiini cha  Injili
3
Silazima
EBT 902
Utafiti wa kithiologia
3
Lazima
EBT 903
Semina ya Kithiologia
3
Lazima


No comments:

Post a Comment