TANGAZO
Uongozi wa Elam
Christian Harvest Seminary kwa kushirikiana na Chuo cha GREAT COMMISSION
BIBLE COLLEGE kilichopo MAREKANI unapenda kuwatangazia
watu wote wanaopenda kujiendeleza katika Elimu ya Mambo ya Mungu
(Theology) kuwakaribisha kujiunga na masomo ya Shahada ya uzamili katika
Huduma (Master of Ministry ) kwa mwaka wa masomo 2018/2019. MASOMO
HAYA YANAANZA KUTOLEWA MWEZI JANUARI, 2018
Masomo haya yanatambuliwa Kimataifa.
Chuo cha Great Commission Bible College Kinatambuliwa na Bodi ya elimu ya
juu ya nchini Marekani. Hivyo Shahada zake zinatambuliwa Kimataifa. (It
is accredited Christian Institution)
Masomo haya yanatolewa kwa njia
ya Mtandao. Huna haja ya kuacha kazi zako na familia yako na kwenda chuoni,
masomo yetu yanakufikia kule ulipo kwa njia ya Mtandao (INTANETI) na
yanafundishwa kwa lugha ya KINGEREZA
Masomo haya yametayarishwa na Waalimu
mahiri katika fani ya Huduma na Theolojia, Baada ya kuhitimu mafunzo yaha
mwanafunzi atakuwa na uwezo wa kufanya kazi mbalimbali za kihuduma katika
taasisi za kidini na jamii kwa ujumla. Mwanafunzi ataweza kushika nyazifa za
uongozi katika kanisa, kufundisha Vyuo vya Biblia na Seminary za Theolojia N.k.
MUDA WA MAFUNZO NI
Muda wa Mafunzo ni
miaka miwili (2) Ingawa mwanafunzi mwenye kusoma kwa
kasi anaweza kusoma kwa muda wa chini ya miaka miwili. Mwanafunzi Atasoma
Kozi moja hadi mbili kwa mwezi
TUZO/AWARDS
Mwanafunzi atakayefuzu kozi zote
atatunukiwa Shahada ya UZAMILI KATIKA HUDUMA ya ( Master
in Ministry. M.Min) ya Chuo cha Biblia cha GREAT COMMISSION BIBLE
COLLEGE cha Marekani.
SIFA ZA MWOMBAJI
1. Awe na Shahada ya Theolojia
au inayofanana na hiyo, awe na angalau GPA
2.9 au Daraja B au
2. Awe na Stashahada ya juu
(Advanced Diploma ) ya Theolojia au inayofanana na hiyo awe
na angalau GPA ya 3.0
GHARAMA ZA MAFUNZO
i.
Ada ya Usajili
Tsh, 25,000/=
ii.
Ada Ya Kila Kozi Ni
Tsh, Tsh, 45,000/=
MFUMO WA MALIPO.
Malipo yote yanafanyika kwa njia ya
m-pesa kwa simu namba 0762532121
MFUMO WA UJIFUNZAJI
Mwanafunzi atatumiwa kitabu cha
kozi/Somo, mwongozo wa kozi na mtihani kwenye email yake. (barua pepe)
Mwanafunzi Atasoma na kujibu mtihani, baada ya kujibu mtihani ataurudisha
chuoni kwa emaili yetu ambayo ni elamexam2010@gmail.com nasi
tutaisahihisha mitihani hiyo na kurejesha majibu kwa mwanafunzi kwa njia ya
email yake.
JINSI
YA KUJIUNGA
Mwombaji
anapaswa kutuma maombi kwa njia ya barua pepe kwenye emaili
Ya
chuo ambayo ni elamseminary@gmail.com au kupiga simu namba
0762532121/0765992774 kwajili ya
maelekezo zaidi.
ORODHA
YA MASOMO
Course Code
|
Course Title
|
Credits
|
EGMT 1000
|
Introduction to Religion
|
3
|
EGMT 1001
|
Sociology of Religion
|
3
|
EGMT 1003
|
Philosophy of Religion
|
3
|
EGMM 1000
|
Basic Christian Counseling
|
3
|
EGMM 1001
|
Contemporary World Mission
|
2
|
EGMM 1002
|
Families and Marriage Therapy
|
3
|
EGMB 1001
|
Economic of Religion
|
2
|
EGMT 1003
|
Portrait of Jesus
|
3
|
EGMM 103
|
Conflict Management
|
3
|
EGMB 2000
|
Inter Testament Literature
|
3
|
EGMT 2000
|
History of Revivals
|
2
|
EGMB 2000
|
Bible Geography
|
3
|
EGMM 2000
|
Understanding your Potentials
|
3
|
EGMM 2001
|
Research Methods in Ministry 3
|
3
|
EGMM 2002
|
Biblical Hermeneutics
|
3
|
EGMT 2001
|
Christian Education
|
2
|
EGML 2000
|
Church Management and
Administration
|
3
|
EGMM 2003
|
Thesis
|
6
|
TOTAL
Credits 50 Credits Hours
LIMETOLEWA NA
Rev. Dr. Tuli. K Brown
DEPUTY ASSOCIATE DIRECTOR GENERAL
ACADEMIC AFFAIRS
NATAKA KUJIUNA NA MAFUNZO HAYO
ReplyDelete