POSTGRADUATE DIPLOMA IN THEOLOGY/ STASHAHADA YA UZAMILI KATIKA THEOLOGIA KWA NJIA YA MTANDAO/INTANETI
Chuo cha Biblia cha Elam Christian Harvest Seminari
kwa kushirikiana na Chuo cha Great Cmmission Bible College cha nchini
Marekani Wanawatangazia watu wote nafasi za kujiunga na Masomo ya Theolojia
ngazi ya Stashahada ya Uzamili katika Theolojia (Postgraduate Diploma in
Theology) kwa njiya ya Mtandao/INTANETI/POSTA
Masomo haya yanatolewa kwa lugha ya kingereza ni ni kozi ya mwaka mmoja.
Waombaji wa kozi hii wanapaswa kwa wahitimu wa ngazi ya Shahada ya kwaza ya
elimu ya kawaida (secular education) au wahitimu wa Stashahada ya Juu ya
Theolojia au inayofanana na hiyo
Baada ya kufuzu programu hii mwanafunzi atakuwa na uwezo wa kuendelea na masomo
ya shahada ya uzamili/umahiri katika Theologia au Huduma katika chuo hiki na
katika vyuo vingine vya kidini duniani kote.
Ada ya maombi ya kujiunga na chuo ni Tsh, 25000/=
Ada ya masomo kwa kila somo/kozi ni Tsh, 35,000/=
Watu wote mnakaribishwa ili muweze kuandaliwa kwaajili ya Huduma. Zoezi la
kujiunga na masomo ni endelevu linaendelea muda wote. mwanafunzi anaruhusiwa
kujiunga na masomo muda wowote.
kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0762532121/0765992774 au
tuandikie kwa barua pepe elamseminary@gmail.com
Tangazo
hili limetolewa leo tarehe 09/10/2018.
Wako katika Elimu ya Kikristo
Rev.Dr. Erick L Mponzi
MKURUGENZI MKUU
POSTGRADUATE DIPLOMA IN THEOLOGY (PGDT)
Postgraduate Diploma in Theology Programme is designed for people holding an undergraduate degree or equivalent in a discipline other than theology, who wish to upgrade their knowledge and skills in this field. This course has been designed to allow people to upgrade their knowledge and skills and also improve professional performance and personal satisfaction. For students from other disciplines it provides a broad overview of Theology in general. Admission normally requires at least Lower second class degree. Also a Advanced Diploma Holder may apply to pursue this course as preparation for doing a master in Theology.
Postgraduate Diploma in Theology is A special Course as Preparatory entry in Master of Theology to those people who do not have undergraduate Degree (Bachelor) in Theology or Religious Education. This course is a programme of one year of study. This Program have 60 Credit hours. In order to qualify to be awarded this Postgraduate Diploma a candidate must satisfy all requirements of the Programme.
COURSE LIST OF POSTGRADUATE DIPLOMA IN THEOLOGY (PGDT)
First Semester
First Semester Courses |
||
Course Code |
Course Title |
Credits |
EGB 1000 |
The Survey of Old Testament |
3 |
EGB 1001 |
The Survey of New Testament |
3 |
EGT 1000 |
Foundations of Faith |
3 |
EGM 1000 |
Ministries of the Holy Spirit |
3 |
EGT 1002 |
Systematic Theology |
3 |
EGT 1003 |
Church History |
3 |
EGT 1004 |
Praise and Worship |
3 |
EGA 1000 |
Personality Psychology |
3 |
Second Semester Courses |
||
Course Code |
Course Title |
Credits |
EGT 2000 |
Marriage, family and Christian Life |
3 |
EGT 2001 |
Biblical Hermeneutics |
3 |
EGM 2000 |
Homiletics |
3 |
EGL 2000 |
Biblical Management Principles |
3 |
EGT 2004 |
Research Methods in Christian Theology |
3 |
EGM 2001 |
Pastoral Theology |
3 |
EGT 2005 |
Research Methods in Christian Theology |
3 |
EGT 2006 |
Research Project |
3 |
No comments:
Post a Comment