SHAHADA
YA UZAMILI KATIKA ELIMU YA KIKRISTO KWA NJIA YA MTANDAO/INTANETI/POSTA
Uongozi
wa  Chuo cha Biblia cha Elam Christian
Harvest Seminary Tanzania kwa kushirikiana na Chuo cha Great Commission Bible
College kilichopo Marekani  unayo furaha kukukaribisha  kujiunga na masomo  ya elimu ya Kikristo ngazi ya Shahada ya
uzamili/umahiri.(Master of Christian Education)
Chuo
cha Great Commission Bible College kimesajiriwa nchini marekani na bodi ya
elimu ya juu na taasisi ya Association
of Independent  Christian colleges and
Seminaries, hivyo shahada zake zinatambuliwa kimataifa
Shahada
ya  Uzamili/Umahiri katika elimu ya
Kikristo ni program maalum iliyoanzishwa kwaajili ya kutayarisha walimu mahiri
wa neno la Mungu. Shahada hii inakusudia kuwaandaa walimu wabobevu na wenye
stadi za Theolojia, huduma na elimu  ya
Kikristo.
 Shahada hii ni program ya mafunzo ya  miaka miwili   na inatolewa kwa lugha ya Kingereza.
Mwanafunzi atatunukiwa Shahada hii baada ya kufuzu mitihani yake yote na
kutimiza mahitaji yote  ya program hii.
Chuo kinampa mwanafunzi fursa ya kusoma kozi moja hadi tatu kwa mwezi.
Baada
ya kufuzu shahada hii mwanafunzi atakuwa na uwezo wa kufundisha vyuo vya Biblia
na theologia, kusimamia  na kuongoza
idara za elimu za za kanisa. Kufundisha neno la Mungu mashuleni, vyuoni,
magerezani n.k
Masomo
yanafundishwa kwa njia ya mtandao (intaneti) au kwa njia ya posta. Huna haja ya
kuacha kazi yako na kwenda chuoni kwa muda mrefu, masomo yanakufikia kule uliko
SIFA
ZA KUJIUNG
Waombani
wa program hii wanapaswa kuwa wahitimu wa Stashahada ya juu ya Theolojia au
huduma za kanisa, Wahitimu wa Shahada ya kwanza ya Theolojia au Huduma za
Kanisa au wahitimu wa Stashahada ya uzamili katika Theolojia au huduma.
GHARAMA
ZA MASOMO
Ada
ya  Usajiri Tsh, 25,000/=
Ada
ywa kila kozi ni 45,000/= 
Kwa
maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0762532121, 0765992774, 
Au
tuandikie kwa email: 
elamseminary@gmail.com
Tangazo
hili limetolewa na
Rev.Dr.
Erick L Mponzi
(Dip.Min,
BEDCP, B.Th, M.Min, Th.D)
MKURUGENZI MKUU
  MASTER   OF CHRISTIAN EDUCATION (M.C.Ed)
 The Master of Christian Education   prepares students for service in the various
professional capacities of a Christian Education ministry, and provides the
comprehensive background necessary for doctoral study. The Master of  Christian Education employs a well-balanced
curriculum covering both the theory and practice of Christian Education, and
trains students in the essential elements of communication, teaching, and
leadership, which are fundamental to a minister of Christian Education. The
concept of a total-church program is emphasized with a philosophy flexible
enough to meet the demands of both professional and lay workers in the church.
Master of Christian Education is the 
program of study of two Years comprises 
a total of 50 Credits  and
comprises   four semester of training
The objectives of the Master of  
Christian Education are to:
·        
Prepare students to oversee the Christian Education program of a
local church or to serve as an educational specialist
·        
Prepare leaders for the educational process in the Bible institute
ministry setting  
·        
Develop a philosophy of Christian Education based upon solid
biblical, theological, and educational foundations 
·        
Equip students to mobilize and motivate lay persons to assist in
the teaching ministry of the church 
·        
Inform students of the latest trends, theories, and creative
teaching methods in the field of Christian Education 
·        
Assists the students in the integration of theory and practice to
enhance effective evangelism and Christian nurture within the church
·        
Foster a distinctively Christian lifestyle that emphasizes a
commitment to excellence and wholeness in every area of life 
Entrance Requirements
Any
person holds a Bachelor Degree in Theology, Ministry or its equivalent may
apply to pursue the Master of Christian Education.  He/she must posses   at least a Lower second class (B)  with GPA 2.9. or a person who holds a
Postgraduate Diploma in Theology or its equivalent may apply to pursue   if he/she possesses the Second Class  or GPA of 3.0.
LIST
OF COURSES OF MASTER OF CHRISTIAN EDUCATION (M.C. Ed)
FIRST
YEAR COURSES
First
Semester 
| 
COURSE   CODE  | 
COURSE
  TITLE | 
CREDITS | 
Status
   | 
| 
EME  1000 | 
Christian
  Education Management and Administration 
   | 
3 | 
Core
   | 
| 
EME
  1001 | 
Historical  Development of   Christian education  | 
3 | 
Core
   | 
| 
EMA  1000 | 
Child
  Development and  Learning | 
3 | 
Core
   | 
| 
EMA
  1001 | 
Curriculum
  Planning  | 
2 | 
Core
   | 
| 
EML  1001 | 
Spiritual
  Leadership Principles  | 
3 | 
Core
   | 
| 
EMA  1003 | 
Educational
  Psychology | 
2 | 
Core
   | 
| 
EME  1003 | 
Methods
  and Media in Christian Education | 
2 | 
core | 
| 
Second
  Semester   | |||
| 
COURSE   CODE  | 
COURSE
  TITLE | 
CREDITS | |
| 
EME   2000 | 
Methods
  of  Teaching Christian Education | 
3 | 
Core
   | 
| 
EMA  2000 | 
Professional  Writing Skills | 
3 | 
Core
   | 
| 
EME
  2001 | 
Public
  Speaking  Skills | 
2 | 
Core
   | 
| 
EME
  2002 | 
Educational  Testing  Measurement and Evaluation | 
3 | 
Core
   | 
| 
EME
  2003 | 
Models
  of Christian Education | 
3 | 
Core
   | 
| 
EME
  2004 | 
 Instructional Methods and Learning Style | 
2 | 
Core
   | 
| 
SECOND
  YEAR COURSES  
Third
  Semester | |||
| 
COURSE   CODE  | 
COURSE
  TITLE | 
CREDITS | 
Status
   | 
| 
EME
  3000 | 
Methods
  of  Teaching Adult  Education | 
3 | 
Core
   | 
| 
EME
  3001 | 
Foundation
  of Christian Education | 
2 | 
Core
   | 
| 
EME
  3002 | 
Fundamentals
   Principles  Of   Christian Education | 
3 | 
Core
   | 
| 
EME  3003 | 
Christian
  Education Organizations | 
3 | 
Core
   | 
| 
EME
  3004 | 
Pedagogy
  for Worldview Christian Formation   | 
3 | 
Core
   | 
| 
EMA
  3000 | 
Organization  Behavior  | 
3 | 
Core
   | 
| 
Fourth Semester  | |||
| 
COURSE   CODE  | 
COURSE
  TITLE | 
CREDITS | |
| 
EMA  4000 | 
Philosophy
  of  Education  | 
3 | 
Core
   | 
| 
EMT
  4000 | 
The
  Study of Comparative  Religions  | 
3 | 
Core
   | 
| 
EME
  4001 | 
Research
  Methods in Christian Education  | 
3 | 
Core
   | 
| 
EME
  4002 | 
Thesis
   | 
6 | 
Core
   | 
 
No comments:
Post a Comment