TANGAZO LA MABADILIKO YA ADA NA MALIPO MENGINEYO
Bwana Yesu apewe sifa.
Kutokana na Kikao cha
Bodi ya Wadhamini kilichoketi tarehe
30/09/2019 napenda kuwatangazia
mabadiliko ya gharama za Masomo kwa wanafunzi wanaosoma kwa njia ya mtandao na
kwa njia ya Posta kama zilivyopitishwa na Bodi ya Wadhamini katika kikao tajwa
hapo juu.
I.
ADA ZA MASOMO
NGAZI YA MASOMO
|
ADA (TSH)
|
ASTASHAHADA
|
20,000/=
|
STASHAHADA
|
20,000/=
|
STASHAHADA YA JUU
|
25,000/=
|
SHAHADA YA KWANZA
|
30,000/=
|
STASHAHADA YA
UZAMILI
|
35,000/=
|
SHAHADA YA
UZAMILI
|
45,000/=
|
SHAHADA YA
UZAMIVU
|
95,000/=
|
Kwa wanafunzi wanaoendelea na
Masomo gharama hizo za ada za masomo zitaanza kutumika tarehe 01/01/2020
Kwa wanafunzi wapya wanaojiunga
na masomo kwa mwaka wa masomo wa 2019/2020 gharama za masomo zinaanza kuafanya kazi tarehe 10/10/2019
II.
ADA ZA USAJIRI
NGAZI YA MASOMO
|
ADA (TSH)
|
ASTASHAHADA
|
15,000/=
|
STASHAHADA
|
15,000/=
|
STASHAHADA YA JUU
|
15,000/=
|
SHAHADA YA KWANZA
|
20,000/=
|
STASHAHADA YA
UZAMILI
|
25,000/=
|
SHAHADA YA
UZAMILI
|
30,000/=
|
SHAHADA YA
UZAMIVU
|
55,000/=
|
III.
ADA ZA ZA TAFITI ZA KITAALUMA
AINA YA UTAFITI
|
ADA (TSH)
|
SHAHADA YA KWANZA
|
105,00/=
|
STASHAHADA YA
UZAMILI
|
105,00/=
|
SHAHADA YA
UZAMILI
|
150,000/=
|
SHAHADA YA
UZAMIVU
|
185,000/=
|
IV.
ADA ZA VYETI
AINA YA CHETI
|
ADA (TSH)
|
ASTASHAHADA
|
55,000/=
|
STASHAHADA
|
70,000/=
|
STASHAHADA YA JUU
|
80,000/=
|
SHAHADA YA KWANZA
|
125,000/=
|
STASHAHADA YA
UZAMILI
|
125,000/=
|
SHAHADA YA
UZAMILI
|
165,000/=
|
SHAHADA YA
UZAMIVU
|
185,000/=
|
Majoho yanakodishwa kwa Tsh, 50,000/=
Mungu awabariki sana
nawatakia masomo na utumishi mwema katika Kristo Yesu
Wenu katika Kristo Yesu
Rev.R.Y.Bitumbe
Kny: Mkurugenzi Mipango, Fedha na Utawala
ELAM CHRISTIAN HARVEST SEMINARY
No comments:
Post a Comment