Wednesday 25 April 2018

SHAHADA YA UMAHIRI KATIKA HUDUMA/ MASTER OF MINISTRY



TANGAZO
Uongozi wa   Elam Christian Harvest Seminary  kwa kushirikiana na Chuo cha GREAT COMMISSION BIBLE COLLEGE  kilichopo  MAREKANI unapenda kuwatangazia  watu wote wanaopenda kujiendeleza katika Elimu ya Mambo ya Mungu (Theology) kuwakaribisha kujiunga na masomo ya Shahada ya uzamili katika Huduma (Master of Ministry ) kwa mwaka wa masomo 2018/2019. MASOMO HAYA YANAANZA KUTOLEWA MWEZI JANUARI, 2018
Masomo haya yanatambuliwa Kimataifa. Chuo cha Great Commission Bible College Kinatambuliwa na Bodi ya elimu ya  juu ya nchini  Marekani. Hivyo Shahada zake zinatambuliwa Kimataifa. (It is accredited Christian Institution)

Masomo  haya yanatolewa kwa njia ya Mtandao. Huna haja ya kuacha kazi zako na familia yako na kwenda chuoni, masomo yetu yanakufikia kule ulipo kwa njia ya Mtandao (INTANETI) na yanafundishwa kwa lugha ya KINGEREZA
Masomo haya yametayarishwa na Waalimu mahiri katika fani ya Huduma na Theolojia, Baada ya kuhitimu mafunzo yaha mwanafunzi atakuwa na uwezo wa kufanya kazi mbalimbali za kihuduma katika taasisi za kidini na jamii kwa ujumla. Mwanafunzi ataweza kushika nyazifa za uongozi katika kanisa, kufundisha Vyuo vya Biblia na Seminary za Theolojia N.k.




MUDA WA MAFUNZO NI
Muda wa Mafunzo  ni   miaka miwili (2)  Ingawa mwanafunzi  mwenye kusoma kwa kasi anaweza kusoma kwa  muda wa chini ya miaka miwili. Mwanafunzi Atasoma Kozi moja hadi mbili kwa mwezi


TUZO/AWARDS
Mwanafunzi atakayefuzu kozi zote atatunukiwa Shahada ya  UZAMILI KATIKA HUDUMA  ya  ( Master  in Ministry. M.Min) ya Chuo cha Biblia cha GREAT COMMISSION BIBLE COLLEGE   cha Marekani.
SIFA ZA MWOMBAJI
1.      Awe na  Shahada ya Theolojia au inayofanana na hiyo,  awe na  angalau GPA     2.9 au Daraja  B  au
2.     Awe na Stashahada  ya juu (Advanced Diploma ) ya Theolojia  au inayofanana  na hiyo  awe na angalau GPA ya  3.0

GHARAMA ZA MAFUNZO
       i.            Ada ya  Usajili  Tsh, 25,000/=
     ii.            Ada Ya Kila Kozi Ni Tsh,   Tsh, 45,000/=
MFUMO  WA MALIPO.
Malipo yote yanafanyika kwa njia ya m-pesa kwa simu namba 0762532121

MFUMO WA UJIFUNZAJI
Mwanafunzi atatumiwa  kitabu cha kozi/Somo, mwongozo wa kozi na mtihani kwenye email yake. (barua pepe) Mwanafunzi Atasoma na kujibu mtihani, baada ya kujibu mtihani ataurudisha chuoni kwa emaili yetu ambayo ni elamexam2010@gmail.com  nasi tutaisahihisha mitihani hiyo na kurejesha majibu kwa mwanafunzi kwa njia ya email  yake.

JINSI YA KUJIUNGA
Mwombaji anapaswa kutuma  maombi kwa njia ya barua pepe kwenye emaili
Ya chuo ambayo ni elamseminary@gmail.com au  kupiga simu namba 0762532121/0765992774   kwajili ya maelekezo zaidi.
ORODHA YA MASOMO
Course Code
Course Title
Credits
EGMT 1000
Introduction to Religion
3
EGMT 1001
Sociology of   Religion
3                      
EGMT 1003
Philosophy of  Religion
3
EGMM 1000
Basic Christian Counseling
3
EGMM 1001
 Contemporary World Mission
2
EGMM 1002
Families and Marriage Therapy
3
EGMB 1001
Economic of Religion
2
EGMT 1003
Portrait of Jesus
3
EGMM 103
Conflict  Management  
3
EGMB 2000
Inter Testament  Literature
3
EGMT 2000
History of Revivals
2
EGMB 2000
Bible Geography
3
EGMM 2000
Understanding  your Potentials
3
EGMM 2001
Research Methods in Ministry  3
3
EGMM 2002
Biblical Hermeneutics
3
EGMT 2001
Christian Education
2
EGML 2000
Church Management and Administration
3
EGMM 2003
Thesis  
6
TOTAL Credits 50 Credits Hours
LIMETOLEWA NA
Rev. Dr. Tuli.  K Brown   
DEPUTY ASSOCIATE DIRECTOR GENERAL ACADEMIC AFFAIRS