Friday 25 January 2019

MABADILIKO YA ADA ZA MASOMO ELAM SEMINARY


 

TANGAZO LA MABADILIKO  YA ADA NA MALIPO MENGINEYO
Bwana Yesu apewe sifa.
Kutokana na Kikao cha Bodi ya Wadhamini kilichoketi   tarehe 30/09/2019  napenda kuwatangazia mabadiliko ya gharama za Masomo kwa wanafunzi wanaosoma kwa njia ya mtandao na kwa njia ya Posta kama zilivyopitishwa na Bodi ya Wadhamini katika kikao tajwa hapo juu.
I.                   ADA ZA MASOMO
NGAZI YA MASOMO
ADA  (TSH)
ASTASHAHADA
20,000/=
STASHAHADA
20,000/=
STASHAHADA YA JUU
25,000/=
SHAHADA YA KWANZA
30,000/=
STASHAHADA YA UZAMILI
35,000/=
SHAHADA YA UZAMILI
45,000/=
SHAHADA YA UZAMIVU
95,000/=

Kwa wanafunzi wanaoendelea na Masomo gharama hizo za ada za masomo zitaanza kutumika tarehe 01/01/2020
Kwa wanafunzi wapya wanaojiunga na masomo kwa mwaka wa masomo wa 2019/2020 gharama za masomo  zinaanza kuafanya kazi tarehe 10/10/2019
II.                ADA ZA USAJIRI
NGAZI YA MASOMO
ADA  (TSH)
ASTASHAHADA
15,000/=
STASHAHADA
15,000/=
STASHAHADA YA JUU
15,000/=
SHAHADA YA KWANZA
20,000/=
STASHAHADA YA UZAMILI
25,000/=
SHAHADA YA UZAMILI
30,000/=
SHAHADA YA UZAMIVU
55,000/=

III.              ADA ZA  ZA TAFITI ZA   KITAALUMA
AINA YA  UTAFITI
ADA  (TSH)
SHAHADA YA KWANZA
105,00/=
STASHAHADA YA UZAMILI
105,00/=
SHAHADA YA UZAMILI
150,000/=
SHAHADA YA UZAMIVU
185,000/=


IV.              ADA  ZA VYETI 
AINA YA CHETI
ADA  (TSH)
ASTASHAHADA
55,000/=
STASHAHADA
70,000/=
STASHAHADA YA JUU
80,000/=
SHAHADA YA KWANZA
125,000/=
STASHAHADA YA UZAMILI
125,000/=
SHAHADA YA UZAMILI
165,000/=
SHAHADA YA UZAMIVU
185,000/=

Majoho  yanakodishwa kwa Tsh, 50,000/=


Mungu awabariki sana nawatakia   masomo   na utumishi mwema katika Kristo Yesu

Wenu katika Kristo Yesu
Rev.R.Y.Bitumbe
Kny: Mkurugenzi  Mipango, Fedha na Utawala
ELAM CHRISTIAN HARVEST SEMINARY

SHAHADA YA UZAMIVU KATIKA THEOLOJIA KWA NJIA YA MTANDAO


 SHAHADA YA UDAKTARI KATIKA THEOLOJIA/ DOCTOR OF THEOLOGY
Uongozi wa   Elam Christian Harvest Seminary  kwa kushirikiana na Chuo cha GREAT COMMISSION BIBLE COLLEGE  kilichopo  MAREKANI unapenda kuwatangazia  watu wote wanaopenda kujiendeleza katika Elimu ya Mambo ya Mungu (Theology) kuwakaribisha kujiunga na masomo ya SHAHADA YA  UZAMIVU KATIKA THEOLOJIA   (Doctor of Theology ) kwa mwaka wa masomo 2019/2010. MASOMO HAYA YANAANZA KUTOLEWA MWEZI   FEBRUARY  2019
Masomo haya yanatambuliwa Kimataifa. Chuo cha Great Commission Bible College Kinatambuliwa na Bodi ya elimu ya  juu ya  nchini  Marekani. Hivyo Shahada zake zinatambuliwa Kimataifa. (It is accredited Christian Institution). Pia chuo cha Great Commision Bible College kimesajiliwa katika bodi  ya kimataifa  ya Usajiri wa  Vyuo vya  Biblia, Theologian na Seminary  inayojulikana kwa jina la  Association of Independent Christian Colleges and Seminaries (AICCS)
Masomo  haya yanatolewa kwa njia ya Mtandao na posta. Huna haja ya kuacha kazi zako na familiya yako na kwenda chuoni, masomo yetu yanakufikia kule ulipo kwa njia ya Mtandao na posta. (INTANETI) na yanafundishwa kwa lugha ya KINGEREZA
Masomo haya yametayarishwa na Waalimu mahiri katika fani ya Huduma na Theolojia, Baada ya kuhitimu mafunzo yaha mwanafunzi atakuwa na uwezo wa kufanya kazi mbalimbali za kihuduma katika taasisi za kidini na jamii kwa ujumla. Mwanafunzi ataweza kushika nyazifa za uongozi katika kanisa, kufundisha Vyuo vya Biblia na Seminary za Theolojia N.k.
 MUDA WA MAFUNZO
Muda wa Mafunzo  ni   miaka mitatu (3)  Ingawa mwanafunzi  mwenye kusoma kwa kasi anaweza kusoma kwa  muda wa chini ya miaka mitatu. Mwanafunzi Atasoma Kozi moja hadi mbili kwa mwezi.
SIFA ZA MWOMBAJI  
·        Mwombaji anatakiwa kuwa  amezaliwa mara ya pili (a born again )
·        Awe na umri kuanzia miaka 25
·        Awe na  awe na shahada ya umahiri/uzamili katika elimu yoyote ya dini na awe na ufaulu wa angalau GPA ya 3.0 au Daraja B
·        Awe tayari kulipa gharama za mafunzo

Mwanafunzi atakayefuzu kozi zote atatunukiwa Shahada ya   UZAMIVU/UDAKTARI (Doctor of Theology   ) ya Chuo cha Biblia cha GREAT COMMISSION BIBLE COLLEGE   cha Marekani.

GHARAMA ZA MAFUNZO
       i.            Ada ya  Usajili  Tsh, 55,000/=
     ii.            Ada Ya Kila Kozi Ni Tsh,   Tsh,  95000/=
MFUMO  WA MALIPO.
Malipo yote yanafanyika kwa njia ya m-pesa kwa simu namba 0762532121

MFUMO WA UJIFUNZAJI
Mwanafunzi atatumiwa  kitabu cha kozi/Somo, mwongozo wa kozi na mtihani kwenye email yake. (barua pepe) Mwanafunzi Atasoma na kujibu mtihani, baada ya kujibu mtihani ataurudisha chuoni kwa emaili yetu ambayo ni elamseminary@gmail.com  nasi tutaisahihisha mitihani hiyo na kurejesha majibu kwa mwanafunzi kwa njia ya email  yake.

JINSI YA KUJIUNGA
Mwombaji anapaswa kutuma  maombi kwa njia ya barua pepe kwenye emaili
Ya chuo ambayo ni elamseminary@gmail.com au  kupiga simu namba 0762532121/0765992774  

THE DOCTOR OF THEOLOGY DEGREE
The  Doctor   Degree in Theology (ThD) is an advanced professional degree designed to continue the education of ministers, helping you to be spiritually renewed and increasingly effective in your world ministry context. This program explores the contextual theologies of global Christianity with primary focus on the phenomenal growth and emerging scholarship within the global Spirit-empowered movement. It aims to equip scholars and practitioners to engage, impact, and serve the Kingdom of God.

This program addresses the following  FIVE  contemporary developments
● Current global shifts in Christianity.
● Academic studies of the integral relationship between Spirit-empowered Christianity and the growth of global Christianity.
● Rising social engagement in Spirit-empowered movements and the widening range of cultural and social issues raised by academics and practitioners.
● The increasing interaction of Spirit-empowered movements with other religions.
PURPOSE
 The purpose of the  ThD  program is to contribute to the body of knowledge concerned with the growth of global Christianity and Spirit-empowered movements. The program addresses these five  contemporary developments:
  • Current global shifts in Christianity.
  • Academic studies of the integral relationship between Spirit-empowered Christianity and the growth of global Christianity
  • Rising social engagement in Spirit-empowered movements and the widening range of cultural and social issues raised by academics and practitioners.
  • The increasing interaction of Spirit-empowered movements with other religions.
  • Increase in the Holy Spirit’s movement amongst marginalized as opposed to inside the institutional church.

PROGRAM GOALS AND OUTCOMES
 The program goals of the  Doctor Degree  in Theology are coordinated with specific learning outcomes that graduates of the program will be expected to demonstrate.
·          Goal 1: To enable students to acquire comprehensive knowledge of the disciplines of theological study with specialization in a particular area of study
o    Outcome 1.1: Demonstrate comprehensive knowledge in and a general mastery of their major area of specialization.
o    Outcome 1.2: Demonstrate expertise in the specific area of theology by means of dissertation research.
·         G2. To provide students with the skills needed to engage in original research at seminary    level in their area of theological expertise and to contribute to the body of knowledge in the field through actionable research and publications. 
o     O.2.1. Demonstrate a capacity to produce publication-worthy research and writing that contributes to the knowledge and  advancement of the field
o    O.2.2. Disseminate the findings of research through traditional and digital means.
·         G3. To engage students in a sustained exploration of the connections and interactions between the academic disciplines of theological studies and the practices of Christian ministry, mission, spirituality, and social engagement.
o    O.3.1. Articulate knowledge of the interrelationships between the subject matter of Christian theology and the practices Christian ministry and mission.
o    O.3.2. Engage critically in theological reflection on Christian spirituality and social engagement.
·          G4. To equip students with pedagogical competencies that prepare them to teach and lead in their area of theological expertise in diverse academic and vocational contexts in local and global constituencies.
o    O.4.1. Demonstrate knowledge of learning theories and methods of assessment in order to help learners to think critically with global awareness and engagement.
o    O.4.2. Demonstrate ability to teach and lead effectively in their area of concentration and in their chosen vocational context.
·         G5. To equip students to interpret and communicate knowledge with sensitivity to the Holy Spirit.
o    O.5.1. Demonstrate an ability to interpret and to communicate knowledge from a charismatic perspective.
The Doctorate degree in Theology (ThD)  consists of 32 courses along with one Dissertation having the total 75  credits unit which student must earn in order to   satisfy the requirements  for the awards of  The Doctor of Theology
QUALIFICATION ENTRY
·        The applicant must be a Master degree holder in any religious field at least with 3.00 GPA or B grade
·        A born  again Christian
·        A Member of particular local congregation
·        With age of 25 years  and above
·        Must be approved with Doctorate Committee of the Seminary
MODE OF LEARNING
At current  seminary is running this program of study in to modes which  are online and correspondence. Face to face   mode will commence next    year

DURATION OF PROGAM
The Doctor of Theology degree  is a program of  three years. But  since that  all people are unique  therefore the is no limitation of  time duration.  Student capacity is what determine the  time framework to be used in his or her program of study. This mean that student with higher speed of learning may use less than three years to complete this program while the student with lower speed may take more than three years to complete this program
Student may request to start writing the  dissertation while proceeding with  the course work or may complete the all course work and start writing the dissertation
Student will be given the supervisor of dissertation whom will  get all  help needed in writing the  dissertation. The title of dissertation will be the area of concentration and it will appear in the degree certificate.
After completing the  program of study student will be receive  the Degree certificate of  Doctor of Theology  from  Great Commission Bible College (USA)
For more  information contact the Administrator  Tel   0762532121/0765992774  elamseminary@gmail.com
Rev.Dr. Erick L Mponzi
(Dip. Min, BEDCP, B.Th, M,Min. Th.D)
NATIONAL OVERSEER


                                  
Course Listing of Doctor of Theology Degree  (ThD)
FIRS YEAR COURSES
FIRST SEMESTER
Course   Code
Course Title
Credits
Status
EGDT   1000
Building  your Theology
2
Core
EGDB 1000
Critical Issues in Old Testament
2
Core
EGDT 1001
History and Religion of Israel
2
Core
EGDM 1000
Miracle Evangelism
2
Core
EGDT 1002
Foundations of   Scripture Interpretation
3
Core
EDGA 1000
Critical Thinking
3
Elective
SECOND SEMESTER




EGDT 2000
Experiencing the Croly of God
2
Core
EGDT  2001
The Kingdom Culture
3
Core
EGDT 2002
Soteriology
3
Core
EGDB 2000
The Divine Inspiration of Bible
2
Elective
EGDL 2000
Leadership Integrity
3
Core
EGDT 2003
The Historical Theology
2
Core
EGDE 2000
Methods of Teaching Christian Theology
3
Core
SECOND YEAR
 THIRD SEMESTER
COURSE CODE
COURSE TITLE
CREDITS
STATUS
EGDL 3000
Power of Vision
3
Core
EGDT 3000
Breaking Chain of Poverty
2
Core
EGDT 3001
Angelology
2
Core
EGDL 3001
How to Discover your Identity
2
Elective
EGDT 3002
Building Systematic Theology  
3
Core
EGDT 3004
Inter-Disciplinary  Methods in Christian  Theology
3
Core
FOURTH SEMESTER
COURSE CODE
COURSE TITLE
CREDITS

EGDT 4001
Communion with God
2
Core
EGDT 4002
Human Nature in Fourfold State
2
Elective
EGDB  4000
Building Biblical Theology
2
Core
EGDT  4003
The Death of Death in The Death of Christ
2
Elective
EGDM 4000
Missionary Methods
2
Core
EGDT 4004
Covenant Theology
2
Core
EGDL  4000
How to maximize you Potential
3
Core
THIRD YEAR
FIFTH SEMESTER
COURSE CODE
COURSE TITLE
CREDITS

EGDT 5000
Millennialism and Social Theory
2
Core
EGDT 5001
The Power and Problem  of Forgiveness
2
Elective
EGDT 5002
Christian Marriages  and Families Issues
2
Core
EGDL 5000
God’s Kingdom Economy
2
Core
EGDM 5000
The Art of    Prophesying
2
Elective
EGDT 5003
The  Attribute of God
2
Core
EGDT 5004
Advanced Research Methodology  in  Theology
3
Core
EGDT 5005
Applied Christian Ethics
2
Core
SIX SEMESTER
COURSE CODE
COURSE TITLE
CREDITS

EGDT 6000
Religion and Social Change in Africa
2
Core
EGDT 6001
Pneumatology Studies
2
Core
EGDT 6002
Understanding our   Roots
2
Core
EGDT 6003
Ecclesiliology- The Patten in  Heaven
2
Core
EGDT 6004
Dissertation  Writing  
6
Core