Tuesday 10 February 2015

MTIHANI WA HISTORIA YA KANISA II

PHILADELPHIA SCHOOL OF MISSION
KLPT-SHILOH PARISH
MTIHANI WA SEMISTA YA TATU FEBRUARY2015

HISTORIA YA KANISA II
PHS 201.
MUDA  saa 3:00

MAELEKEZO.
·        Mtihani huu una sehemu A, B, C, na D.
·        Jibu maswali yote ya sehemu A, B, C Na Maswali Matatu Tu Toka Sehemu D.
·        Majibu ya Sehemu A,B Yajibiwe Katika Karatasi Hii Na Majibu Ya Sehemu C Na D Yajibiwe Katika Kitabu Cha Kujibia.
·        Andika jina na namba yako katika kila ukurasa wa majibu.
·        Andika kwa umakini, swali lililofutwa halite sahihishwa.
·        Mtihani huu una kurasa mbili zilizochapwa.

SEHEMU A. ALAMA 10
Maelezo yafuatayo yaweza kuwa kweli au si kweli. Soma kwa makini kila maelezo na kisha andika  N kwa jibu la kweli na H kwa jibu lisilo kweli.
NA
MAELEZO
NDIYO
HAPANA
1
Katika kipindi cha Efeso kanisa liliteswa na serikali na wayahudi.

2
Maksentio alipigana vita na Kostantino huko  Ujerumani.

3
Kostantino alihamishia makao makuu ya Serikali ya Rumi katika mji wa Rumi.

4
Umonnntano ulianzishwa na mtu aliyeitwa Montano mwenyeji wa Frigia.

5
Marsioni  aliharakisha uwekaji wa kanuni ya maandiko Matakatifu.

6
Novatiano alikuwa kiongozi wa wanovato katika karne ya tatu kabla ya  masihi

7
Kuongoka kwqa Kostantino kulikuwa na athali chanya na hasi katika kanisa.

8
Kostantino alikuwa katibu wa mkutano wa Naikea uliofanyika mwaka  325 KYM

9
Wayahhudishaji walikua ni wakristo wenye asili ya kirumi waliohimiza wakristo kufuata mapokeo ya kiyahudi na sheria za Musa.

10

SEHEMU B.ALAMA  10. Oanisha orodha A na orodha B kwa kujaza  majibu toka katika orodha B  katika jedwali iliyochorwa hapo chini.
                      ORODHA  A
ORODHA B
1.  Theotokos
A.Mmonaki wa kwanza
2. Mama wa Kristo.
B.Mwanzilishi wa Monastery
3.Uzushi
C.Baba mkubwa
4.Katoliki
D. Kukua kwa upapa
5 Innocent II
E.Jon Hus
6.Patriaki
F.  Mafundisho yasiyokubaliwa   na kanisa
7. Pokomeo
G. Mwanzilishi wa Serikali ya Vatikani.
8.Mwana mategenezo wa Bohemia.
H. Sirilo
9. 590 BK
I.  ya popote
10. Antoni
J. Nestori

Na ya swali
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
Jibu

SEHEMU C. ALAMA 20.
 ELEZA KWA KIFUPI MCHANGO KILA MMOJA  WA WATU WAFUATAO KATIKA HISTORIA YA KANISA
1.      Hildebrand.
2.      Ulrich Zwingry.
3.      John Wikrif.
4.      John Calvin
5.      Jon Hus.
SEHEMU D.  ISHA. ALAMA  45. JIBU MASWALI 3 TU TOKA SEHEMU HII..
1.      Kwa hoja tano Thabiti jadili hoja ya wakristo wa Karthegi  kukataa kuongozwa na Viongozi waliokuwa wameikana imani wakati wa kipindi cha mateso ya kanisa chini ya uongozi wa Deokletiani.
2.      Si kila kilichoitwa uzushi kilikuwa uzushi kweli, kwa kutumia Hoja za Marsion na Montano jadili kauli hii kwa mifano  ithibati.
3.      Mafanikio huweza kuwa chanzo cha anguko.  Kwa kutumia mafanikio kanisa liliyoyapata  kutokana na tamko la tamko la amani toa hoja 10 ukithibitisha dai hili.
4.      Wimbi la matengenezo ya kanisa halikuzaliwa katika ombwe tup., jadili kauli hii kwa hoja tano kuntu.
5.      Kuanguka kwa mamlaka ya upapa hakukua tukio la usiku mmoja, bali ulikuwa ni mchakato kamilifu na maanifu.  Jadili kauli hii kwa hoja tano madhubuti.
6.      Wakati viongozi wa kanisa wanaacha kusudi la msingi la wito wao wa kimadhabahu na kuanza kujikita katika masuala ya siasa huweza kuleta Matokeo hasi katika kanisa kwa kiwango gani kauli hii inaukweli ? Toa hoja tano kwa mifano ithibati.