Tuesday 16 October 2018

TANGAZO LA MASOMO YA SHAHADA YA UZAMILI KATIKA ELIMU YA KIKRISTO KWA NJIA YA MTANDAO/INTANETI/POSTA


SHAHADA YA UZAMILI KATIKA ELIMU YA KIKRISTO KWA NJIA YA MTANDAO/INTANETI/POSTA
Uongozi wa  Chuo cha Biblia cha Elam Christian Harvest Seminary Tanzania kwa kushirikiana na Chuo cha Great Commission Bible College kilichopo Marekani  unayo furaha kukukaribisha  kujiunga na masomo  ya elimu ya Kikristo ngazi ya Shahada ya uzamili/umahiri.(Master of Christian Education)
Chuo cha Great Commission Bible College kimesajiriwa nchini marekani na bodi ya elimu ya juu na taasisi ya Association of Independent  Christian colleges and Seminaries, hivyo shahada zake zinatambuliwa kimataifa
Shahada ya  Uzamili/Umahiri katika elimu ya Kikristo ni program maalum iliyoanzishwa kwaajili ya kutayarisha walimu mahiri wa neno la Mungu. Shahada hii inakusudia kuwaandaa walimu wabobevu na wenye stadi za Theolojia, huduma na elimu  ya Kikristo.
 Shahada hii ni program ya mafunzo ya  miaka miwili   na inatolewa kwa lugha ya Kingereza. Mwanafunzi atatunukiwa Shahada hii baada ya kufuzu mitihani yake yote na kutimiza mahitaji yote  ya program hii. Chuo kinampa mwanafunzi fursa ya kusoma kozi moja hadi tatu kwa mwezi.
Baada ya kufuzu shahada hii mwanafunzi atakuwa na uwezo wa kufundisha vyuo vya Biblia na theologia, kusimamia  na kuongoza idara za elimu za za kanisa. Kufundisha neno la Mungu mashuleni, vyuoni, magerezani n.k
Masomo yanafundishwa kwa njia ya mtandao (intaneti) au kwa njia ya posta. Huna haja ya kuacha kazi yako na kwenda chuoni kwa muda mrefu, masomo yanakufikia kule uliko
SIFA ZA KUJIUNG
Waombani wa program hii wanapaswa kuwa wahitimu wa Stashahada ya juu ya Theolojia au huduma za kanisa, Wahitimu wa Shahada ya kwanza ya Theolojia au Huduma za Kanisa au wahitimu wa Stashahada ya uzamili katika Theolojia au huduma.
GHARAMA ZA MASOMO
Ada ya  Usajiri Tsh, 25,000/=
Ada ywa kila kozi ni 45,000/=
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0762532121, 0765992774,
Au tuandikie kwa email:  elamseminary@gmail.com

Tangazo hili limetolewa na
Rev.Dr. Erick L Mponzi
(Dip.Min, BEDCP, B.Th, M.Min, Th.D)
MKURUGENZI MKUU






  MASTER   OF CHRISTIAN EDUCATION (M.C.Ed)
 The Master of Christian Education   prepares students for service in the various professional capacities of a Christian Education ministry, and provides the comprehensive background necessary for doctoral study. The Master of  Christian Education employs a well-balanced curriculum covering both the theory and practice of Christian Education, and trains students in the essential elements of communication, teaching, and leadership, which are fundamental to a minister of Christian Education. The concept of a total-church program is emphasized with a philosophy flexible enough to meet the demands of both professional and lay workers in the church. Master of Christian Education is the  program of study of two Years comprises  a total of 50 Credits  and comprises   four semester of training
The objectives of the Master of   Christian Education are to:
·         Prepare students to oversee the Christian Education program of a local church or to serve as an educational specialist
·         Prepare leaders for the educational process in the Bible institute ministry setting  
·         Develop a philosophy of Christian Education based upon solid biblical, theological, and educational foundations
·         Equip students to mobilize and motivate lay persons to assist in the teaching ministry of the church
·         Inform students of the latest trends, theories, and creative teaching methods in the field of Christian Education
·         Assists the students in the integration of theory and practice to enhance effective evangelism and Christian nurture within the church
·         Foster a distinctively Christian lifestyle that emphasizes a commitment to excellence and wholeness in every area of life

Entrance Requirements
Any person holds a Bachelor Degree in Theology, Ministry or its equivalent may apply to pursue the Master of Christian Education.  He/she must posses   at least a Lower second class (B)  with GPA 2.9. or a person who holds a Postgraduate Diploma in Theology or its equivalent may apply to pursue   if he/she possesses the Second Class  or GPA of 3.0.









LIST OF COURSES OF MASTER OF CHRISTIAN EDUCATION (M.C. Ed)

FIRST YEAR COURSES
First Semester
COURSE   CODE
COURSE TITLE
CREDITS
Status
EME  1000
Christian Education Management and Administration 
3
Core
EME 1001
Historical  Development of   Christian education
3
Core
EMA  1000
Child Development and  Learning
3
Core
EMA 1001
Curriculum Planning
2
Core
EML  1001
Spiritual Leadership Principles
3
Core
EMA  1003
Educational Psychology
2
Core
EME  1003
Methods and Media in Christian Education
2
core
Second Semester 
COURSE   CODE
COURSE TITLE
CREDITS

EME   2000
Methods of  Teaching Christian Education
3
Core
EMA  2000
Professional  Writing Skills
3
Core
EME 2001
Public Speaking  Skills
2
Core
EME 2002
Educational  Testing  Measurement and Evaluation
3
Core
EME 2003
Models of Christian Education
3
Core
EME 2004
 Instructional Methods and Learning Style
2
Core
SECOND YEAR COURSES
Third Semester
COURSE   CODE
COURSE TITLE
CREDITS
Status
EME 3000
Methods of  Teaching Adult  Education
3
Core
EME 3001
Foundation of Christian Education
2
Core
EME 3002
Fundamentals  Principles  Of   Christian Education
3
Core
EME  3003
Christian Education Organizations
3
Core
EME 3004
Pedagogy for Worldview Christian Formation 
3
Core
EMA 3000
Organization  Behavior
3
Core
Fourth Semester
COURSE   CODE
COURSE TITLE
CREDITS

EMA  4000
Philosophy of  Education
3
Core
EMT 4000
The Study of Comparative  Religions
3
Core
EME 4001
Research Methods in Christian Education
3
Core
EME 4002
Thesis
6
Core




No comments:

Post a Comment