Friday 25 January 2019

MABADILIKO YA ADA ZA MASOMO ELAM SEMINARY


 

TANGAZO LA MABADILIKO  YA ADA NA MALIPO MENGINEYO
Bwana Yesu apewe sifa.
Kutokana na Kikao cha Bodi ya Wadhamini kilichoketi   tarehe 30/09/2019  napenda kuwatangazia mabadiliko ya gharama za Masomo kwa wanafunzi wanaosoma kwa njia ya mtandao na kwa njia ya Posta kama zilivyopitishwa na Bodi ya Wadhamini katika kikao tajwa hapo juu.
I.                   ADA ZA MASOMO
NGAZI YA MASOMO
ADA  (TSH)
ASTASHAHADA
20,000/=
STASHAHADA
20,000/=
STASHAHADA YA JUU
25,000/=
SHAHADA YA KWANZA
30,000/=
STASHAHADA YA UZAMILI
35,000/=
SHAHADA YA UZAMILI
45,000/=
SHAHADA YA UZAMIVU
95,000/=

Kwa wanafunzi wanaoendelea na Masomo gharama hizo za ada za masomo zitaanza kutumika tarehe 01/01/2020
Kwa wanafunzi wapya wanaojiunga na masomo kwa mwaka wa masomo wa 2019/2020 gharama za masomo  zinaanza kuafanya kazi tarehe 10/10/2019
II.                ADA ZA USAJIRI
NGAZI YA MASOMO
ADA  (TSH)
ASTASHAHADA
15,000/=
STASHAHADA
15,000/=
STASHAHADA YA JUU
15,000/=
SHAHADA YA KWANZA
20,000/=
STASHAHADA YA UZAMILI
25,000/=
SHAHADA YA UZAMILI
30,000/=
SHAHADA YA UZAMIVU
55,000/=

III.              ADA ZA  ZA TAFITI ZA   KITAALUMA
AINA YA  UTAFITI
ADA  (TSH)
SHAHADA YA KWANZA
105,00/=
STASHAHADA YA UZAMILI
105,00/=
SHAHADA YA UZAMILI
150,000/=
SHAHADA YA UZAMIVU
185,000/=


IV.              ADA  ZA VYETI 
AINA YA CHETI
ADA  (TSH)
ASTASHAHADA
55,000/=
STASHAHADA
70,000/=
STASHAHADA YA JUU
80,000/=
SHAHADA YA KWANZA
125,000/=
STASHAHADA YA UZAMILI
125,000/=
SHAHADA YA UZAMILI
165,000/=
SHAHADA YA UZAMIVU
185,000/=

Majoho  yanakodishwa kwa Tsh, 50,000/=


Mungu awabariki sana nawatakia   masomo   na utumishi mwema katika Kristo Yesu

Wenu katika Kristo Yesu
Rev.R.Y.Bitumbe
Kny: Mkurugenzi  Mipango, Fedha na Utawala
ELAM CHRISTIAN HARVEST SEMINARY

No comments:

Post a Comment