Ongeza kichwa |
ELIMU YA BIBLIA NA MAFUNZO YA HUDUMA KWA NJIA YA
POSTA
Elam Christian Harvest Seminary kwa
kushirikiana na Harvestime International
Institute iliyoko Marekani
Wanakuletea Mafunzo ya Biblia na
Huduma za Kanisa kwa njia ya Posta. Huna haja ya kuacha kazi yako na kwenda
masomoni kwa muda mrefu, bali unapaswa
kutenga muda kiasi fulani kila wiki
ambao utatumia kujifunza ukiwa nyumbani
kwako au na wenzako katika kikundi.unaweza kusoma ukiwa kazini kwako na kufikia
kiwango chochote unachohitaji. Tunaamini
kwamba watendakazi wanapaswa kuandaliwa katika uwanja wa mavuno.
Masomo
haya ni ya ngazi ya Stashahada (Diploma) katika fani ya
Biblia na Huduma za kanisa. Muda wa
mafunzo ni miaka mitatu. Mwanafunzi akifuzu masomo yote atatunukiwa Stashahada
ya Biblia na Huduma za Kanisa. Mwanafunzi atasoma somo moja au mawili kila mwezi.
Gharama
ya kila somo ni TSh. 5000 kwa sasa lakini gharama hizo zaweza kubadilika
kutokana na kupanda kwa gharama ya uendeshaji wa mafunzo.
Ikiwa unapenda kujiunga na masomo
haya tafadhali tuandikie au tupigie simu kwa
namba zilizopo hapo chini.
S.L.P 69 MKWAJUNI MBEYA
E-mail
elamharvestseminary@gmail.com
Simu Na .
0762532121,
075787107
Wako katika mavuno
……………………………………………..
Rev.
Erick Mponzi.
Mratibu
wa mafunzo
Kwa
maelezo zaidi wasiliana na Mratibu wa
mafunzo kwa namba za simu simu zilizopo
hapo juu.
ORODHA
YA MASOMO
MODULI
YA KWANZA
1.
KUJENGA MISINGI
YA IMANI.
2.
PITIO LA AGANO LA
KALE
3. PITIO LA AGANO JIPYA
4. BIBLIOLOJIA.
5. SIFA NA IBADA.
6. MBINU ZA KUJIFUNZA BIBLIA
7. KARAMA ZA ROHO MTAKATIFU.
8. KUISIKIA SAUTI YA MUNGU
9. UPAKO WA ROHO MTAKATIFU.
10. MAANDALIO YA UONGOZI
MODULI
YA PILI.
1.
HISTORIA YA
KANISA.
2.
KUANDAA MAHUBIRI
3.
KANUNI ZA
KUFASILI MAANDIKO.
4.
SAIKOLOJIA YA
BIBLIA.
5.
UINJILISTI.
6.
THEOLOJIA LINGANISHI
7.
MAMLAKA YA
MWAMINI
8.
KANUNI ZA
UONGOZI WA KIROHO.
9.
NGUVU YA MAOMBI
NA DHABIHU.
10.UPONYAJI NA UKOMBOZI.
MODULI
YA TATU.
1.
USHAURI WA
KICHUNGAJI
2. THEOLOJIA
YA KICHUNGAJI
3. HUDUMA
ZA AGANO JIPYA
4. KANISA
5. KUONGOZA
KWA KUSUDI.
6. KANUNI
ZA MAZIDISHO
7. THEOLOJIA
YA MATENDO
8.
KUPANDA
MAKANISA.
9.
WAEBRANIA
10.
MIKAKATI YA MAVUNO YA KIROHO.
No comments:
Post a Comment